CS Murkomen asema Nick Mwendwa hafai kuwania kiti cha FKF

Описание к видео CS Murkomen asema Nick Mwendwa hafai kuwania kiti cha FKF

Waziri wa michezo Kipchumba Murkomen anasema rais wa FKF Nick Mwendwa hastahili kugombea kama naibu rais katika uchaguzi ujao wa FKF. Murkomen anasema uchaguzi wa FKF utaendeshwa kwa mujibu wa sheria inayomzuia Nick Mwendwa kwani amehudumu kwa mihula miwili kama rais wa shirikisho hilo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке