NINAFANYA KAZI CHRISTIAN DIOR | CHANGAMOTO ZA KUKUZA TALANTA UFARANSA UKIWA KAMA MUAFRIKA

Описание к видео NINAFANYA KAZI CHRISTIAN DIOR | CHANGAMOTO ZA KUKUZA TALANTA UFARANSA UKIWA KAMA MUAFRIKA

‪@VictoriaMajule‬ ameeleza Safari yake ya kuamua kusomea FASHION, changamoto ya lugha ilivyomtesa baada ya kufika Ufaransa kwa lengo la kujiendeleza kielimu katika upande wa Fashion.

Ametueleza maisha ya Wafaransa na nchi yao, changamoto ambazo amekutana nazo kwakua tu yeye ni Muafrika, na namna alivyosimama ngangari kujisimamia.

Subscribe to her YouTube channel ‪@VictoriaMajule‬ ili upate kujifunza kuhusu Urembo na mitindo.

Thank you Victoria for allowing this to be online


www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке