KWAYA MT.KIZITO - MAKUBURI ILIVYO IMBA WAKATI WA MISA YA SHUKRANI YA KARDINAL RUGAMBWA.

Описание к видео KWAYA MT.KIZITO - MAKUBURI ILIVYO IMBA WAKATI WA MISA YA SHUKRANI YA KARDINAL RUGAMBWA.

Wanakwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Parokia ya Mwenyeheri Anuarite Makuburi Walivyo imba katika Adhimisho Misa Takatifu ya Shukrani kwa Mungu alivyoteuliwa kuwa Mwadhama Kardinal Protasi Rugambwa Askofu Mkuu wa Jimbo katoliki la Tabora, Misa imeandaliwa na Familia na Marafiki alio soma nao Kardinali Misa imefanyika katika Parokia ya Mtakatifu Kizito Kilongawima Jimbo kuu la Dar es Salaam.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке