Baridi ilivyobadili utaratibu wa maisha ya wakazi wa Njombe

Описание к видео Baridi ilivyobadili utaratibu wa maisha ya wakazi wa Njombe

Baridi imebadili utaratibu wa maisha, ndivyo unavyoweza kusema ukizungumzia maisha ya wakazi wa Mkoa wa Njombe baada ya mkoa huo kuwa miongoni mwa mikoa yenye baridi na kuwafanya wananchi wake kubadili utaratibu wao wa kila siku, lengo likiwa ni kujisitiri na baridi hiyo kama anavyoeleza Emmaniel Kalemba.
#AzamTVUpdates #BaridiNjombe #Njombe

Комментарии

Информация по комментариям в разработке