Daniel Kimanzi ajishindia zawadi ya shilingi milioni 1.5 kwenye mchezo wa Shabiki Aviator

Описание к видео Daniel Kimanzi ajishindia zawadi ya shilingi milioni 1.5 kwenye mchezo wa Shabiki Aviator

Kutoka mchezaji wa kawaida hadi kuwa milionea. Hii ndio safari ya Daniel Kimanzi aliyeshinda shilingi milioni 1.5 kwenye mchezo wa aviator wa Shabiki.Com
Kimanzi, ambaye ni mkazi wa Kitui na mhandisi, anasema kuwa hucheza mchezo huo mara kwa mara. Alishangilia ushindi huo na mke wake, wakijua kuwa maisha yao yamebadilika sasa. Aidha, daniel anasema kuwa aliwahi kushinda shilingi laki tano hapo awali, na zikampa msukumo wa kuendelea kucheza mchezo huu wa aviator ya Shabiki.Com

Комментарии

Информация по комментариям в разработке