Hesabu Chura na Akili | Akili and Me | Katuni za Kiswahili

Описание к видео Hesabu Chura na Akili | Akili and Me | Katuni za Kiswahili

Msaidie mwanao kujifunza kuhesabu kupitia hii video ya nyimbo kutoka Akili and Me!

Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba namba! Cheza herufi! Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Akili. Angalia "Akili and Me" TBC1 saa 3 asubuhi j1 & j2 pamoja na Ubongo Kids. Ride the rainbow to Lala Land, and join Akili and her friends on a magical learning adventure. Sing with numbers, dance with letters, draw, play and learn English with Akili! Watch “Akili and Me” on TBC1, 9am Saturday and Sunday mornings! http://www.akiliandme.com   / akiliandme   (English)   / akilikiswahili   (Kiswahili) By Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning. Edutainment made in Africa, for Africa!

Комментарии

Информация по комментариям в разработке