Jinsi ya kupika Maandazi laini sana😋- Recipe 1 (hamira na maziwa)

Описание к видео Jinsi ya kupika Maandazi laini sana😋- Recipe 1 (hamira na maziwa)

Maandazi ya maziwa na hamira

Unga vikombe 4
Hamira kijiko kikubwa 1 na robo
Maziwa 200 ml
Sukari robo tatu ya kikombe ulichopimia unga
Chumvi nusu kijiko kidogo
Mafuta kijiko kikubwa 1
Siagi vijiko vikubwa 2 . Unaweza kutumia pia kijiko 1 tu
Hiliki kiasi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке