Mshukiwa wa mauaji ya dereva wa teksi akamatwa baada ya kukiri kuwaua madereva wengi

Описание к видео Mshukiwa wa mauaji ya dereva wa teksi akamatwa baada ya kukiri kuwaua madereva wengi

Maafisa Wa Polisi Wanaochunguza Mauwaji Ya Victoria Mumbua Muloki Wamebaini Mshukiwa Wa Mauwaji Yake Ana Kesi Zingine Za Kuwateka Nyara Madereva Wa Teksi, Kuwauwa Na Kuwaibia Magari. Na Kama Anavyoarifu Franklin Wallah, Uchunguzi Umefichua Kuwa Mshukiwa Huyo Edwin Ng'etich Amehusishwa Na Tukio La Kumteka Nyara Mkenya Mwengine Kabla Ya Kumuuwa Na Kuiba Gari Lake Mnano Julai Mwaka Huu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке