Mambo ya Kuzingatia kwa Kiongozi ili Kujiongezea Ushawishi

Описание к видео Mambo ya Kuzingatia kwa Kiongozi ili Kujiongezea Ushawishi

Katika maeneo tunayofanyia kazi kuna viongozi ambao wana ushawishi na kukubaliki kuliko wengine. Hili haliji kwa bahati mbaya. Video hii inaainisha mambo kadhaa ambayo ni ya msingi katika kuongeza ushawishi hasa kwa viongozi!
__________________________
The HR Tanzania The HR

Комментарии

Информация по комментариям в разработке