Othman: Patachimbika uchaguzi mkuu 2025

Описание к видео Othman: Patachimbika uchaguzi mkuu 2025

.Asema wakiwavuruga, watavurugana
.Awataka Polisi kusimamia haki

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman ametoa kauli nzito inayoashiria kutakuwa na patashika katika uchaguzi mkuu 2025 endapo hautakuwa wa haki na huru

Othman aliyepata pia kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, alitoa kauli hiyo nzito leo wakati akihutubia mkutano wa viongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo uliofanyika Ukumbi wa Gombani Chake Chake Pemba

Комментарии

Информация по комментариям в разработке