Dada wa aliyedaiwa kuuawa na MumeweDodoma, aeleza ilivyokuwa

Описание к видео Dada wa aliyedaiwa kuuawa na MumeweDodoma, aeleza ilivyokuwa

Mwananchi Digital imefanikiwa kumpata dada wa Aisha Ramadhani anayedaiwa kuuwawa kwa kupigwa na mumewe hapa jijini Dodoma na kuacha watoto watano.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке