Mzee Makamba alivyowacharukia wanaotaka uwaziri ili wakaibe

Описание к видео Mzee Makamba alivyowacharukia wanaotaka uwaziri ili wakaibe

Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba amepunguza mikiki ya siasa za jukwaani lakini hilo halimzuii kushauri na kukosoa mienendo ya wanaokwenda kinyume na kile anachoamini kuwa ni kinyume na maslahi ya umma. Amezungumza na Daily News na kusema haya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке