Aliyenusurika ajali ya ndege Bukoba asimulia tukio zima

Описание к видео Aliyenusurika ajali ya ndege Bukoba asimulia tukio zima

Richard Komba ambaye ni mmoja wa majeruhi katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea leo Novemba 6, 2022 katika Ziwa Victoria, wilayani Bukoba amesimulia namna ajali hiyo ilivyotokea.

#UFMUpdates #UFMHabari #AjaliYaNdegeBukoba #ZiwaViktoria #Bukoba

Комментарии

Информация по комментариям в разработке