Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Wanawake TAKUKURU Mbeya Watoa Mashine ya Kufulia kwa Watoto Wenye Mahitaji Maalum

  • MbeyaYetuOnlineTV
  • 2026-03-08
  • 135
Wanawake TAKUKURU Mbeya Watoa Mashine ya Kufulia kwa Watoto Wenye Mahitaji Maalum
  • ok logo

Скачать Wanawake TAKUKURU Mbeya Watoa Mashine ya Kufulia kwa Watoto Wenye Mahitaji Maalum бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Wanawake TAKUKURU Mbeya Watoa Mashine ya Kufulia kwa Watoto Wenye Mahitaji Maalum или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Wanawake TAKUKURU Mbeya Watoa Mashine ya Kufulia kwa Watoto Wenye Mahitaji Maalum бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Wanawake TAKUKURU Mbeya Watoa Mashine ya Kufulia kwa Watoto Wenye Mahitaji Maalum

Wanawake wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Mbeya wameadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kwa kutembelea kituo cha kulea watoto wenye mahitaji maalum cha Funguka Foundation kilichopo Mtaa wa Wasai, Kata ya Ilomba, na kukabidhi msaada wa mashine ya kufulia nguo ili kusaidia shughuli za malezi ya watoto wanaolelewa katika kituo hicho.

Akizungumza kwa niaba ya wenzake, Kisa Ngoloke alisema waliguswa na juhudi za mama mlezi wa kituo hicho anayewahudumia watoto wenye ulemavu wa akili, viungo na usonji, akieleza kuwa kazi anayofanya ni kubwa na inahitaji moyo wa kujitoa. Alisema waliona ni vyema kufika kituoni hapo ili kushirikiana na watoto hao pamoja na kumpa moyo mlezi huyo, huku wakiamini kuwa msaada walioutoa utasaidia kurahisisha kazi ya kuwahudumia watoto hao.

Kwa upande wake Meneja wa kituo hicho, Nelly Elisha, aliwashukuru wanawake hao kwa msaada huo akisema utasaidia kupunguza changamoto aliyokuwa akikabiliana nayo ya kufua nguo nyingi za watoto, kazi ambayo mara nyingi alikuwa akiifanya mwenyewe. Alisema kituo hicho kinahudumia jumla ya watoto 78 wakiwemo yatima pamoja na wenye ulemavu wa akili, viungo na usonji, ambapo baadhi yao hulala kituoni huku wengine wakiletwa asubuhi na kurudishwa nyumbani jioni.

Naye Afisa Mtendaji wa Kata ya Ilomba, Regina Kichwika, aliishukuru taasisi hiyo kwa msaada huo na kueleza kuwa kituo hicho bado kina mahitaji mbalimbali, hivyo akatoa wito kwa wadau wengine kujitokeza kusaidia ili kuboresha huduma kwa watoto hao.

Aidha, Kichwika aliwataka wazazi kuacha tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu majumbani, akisisitiza kuwa kuwatoa na kuwaonesha kwenye jamii kunasaidia kupata msaada pamoja na kuhakikisha wanapata haki zao za msingi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • TAZAMA DKT TULIA NA DKT. MARY MWANJELWA WAKIIMBA WIMBO WA  Umbili
    TAZAMA DKT TULIA NA DKT. MARY MWANJELWA WAKIIMBA WIMBO WA Umbili
    2 недели назад
  • Mvua na upepo mkali waathiri zaidi ya kaya 200 Mbeya
    Mvua na upepo mkali waathiri zaidi ya kaya 200 Mbeya
    2 недели назад
  • TISEZA YASIFIA UWEKEZAJI WA BILIONI 8 WA BABITO TRADING COMPANY MBEYA
    TISEZA YASIFIA UWEKEZAJI WA BILIONI 8 WA BABITO TRADING COMPANY MBEYA
    2 недели назад
  • ⚡️НОВОСТИ | ЛИТВА ЖДЕТ ВТОРЖЕНИЯ ПУТИНА | РИАННУ ОБСТРЕЛЯЛИ | ВЗРЫВ НА ЗАВОДЕ| УДАР ИЗРАИЛЯ ПО ИРАНУ
    ⚡️НОВОСТИ | ЛИТВА ЖДЕТ ВТОРЖЕНИЯ ПУТИНА | РИАННУ ОБСТРЕЛЯЛИ | ВЗРЫВ НА ЗАВОДЕ| УДАР ИЗРАИЛЯ ПО ИРАНУ
    1 час назад
  • “Ndingo: Uongozi wa Samia Ni Ukombozi Mkubwa kwa Wanawake Tanzania.”
    “Ndingo: Uongozi wa Samia Ni Ukombozi Mkubwa kwa Wanawake Tanzania.”
    1 день назад
  • Dkt. Tulia Aunga Mkono Ujenzi wa Barabara Bombambili kwa Mifuko 100 ya Saruji na tripu 10 za mawe
    Dkt. Tulia Aunga Mkono Ujenzi wa Barabara Bombambili kwa Mifuko 100 ya Saruji na tripu 10 za mawe
    4 дня назад
  • Запасникам вводят ограничения и вызывают в военкомат. Лишение паспорта РФ за преступление
    Запасникам вводят ограничения и вызывают в военкомат. Лишение паспорта РФ за преступление
    7 часов назад
  • Dakika 59 Kishimba akimwaga Nondo akizungumza na wanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM
    Dakika 59 Kishimba akimwaga Nondo akizungumza na wanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM
    2 года назад
  • Новости дня | 9 марта 2026 г. — дневной выпуск
    Новости дня | 9 марта 2026 г. — дневной выпуск
    2 часа назад
  • Глава государства поздравил дам с Международным женским днём | President
    Глава государства поздравил дам с Международным женским днём | President
    22 часа назад
  • HUZUNI WASIFU wa BOSI wa CHAKO ni CHAKO UKISOMWA - AMEACHA MCHUMBA ALIYEMVISHA PETE na WATOTO WAWILI
    HUZUNI WASIFU wa BOSI wa CHAKO ni CHAKO UKISOMWA - AMEACHA MCHUMBA ALIYEMVISHA PETE na WATOTO WAWILI
    1 год назад
  • Новая мобилизация. Теперь хватают студентов
    Новая мобилизация. Теперь хватают студентов
    5 часов назад
  • Нефть, газ и уголь дорожают. Путин поздравил Хаменеи. Удар по химзаводу в Новгороде
    Нефть, газ и уголь дорожают. Путин поздравил Хаменеи. Удар по химзаводу в Новгороде
    Трансляция закончилась 1 час назад
  • Mwanachama Chama cha Ushirika wa Wafugaji Kiluvya (CHAWAKIM)
    Mwanachama Chama cha Ushirika wa Wafugaji Kiluvya (CHAWAKIM)
    1 год назад
  • Кремль готовится к штурму / Переброска элитных подразделений
    Кремль готовится к штурму / Переброска элитных подразделений
    11 часов назад
  • ⚡️НОВОСТИ | УДАР ПО СОЧИ. ЗАКРЫТ АЭРОПОРТ | ХАМЕНЕИ — НОВЫЙ ЛИДЕР ИРАНА | РЕКОРДНЫЕ ЦЕНЫ НА НЕФТЬ
    ⚡️НОВОСТИ | УДАР ПО СОЧИ. ЗАКРЫТ АЭРОПОРТ | ХАМЕНЕИ — НОВЫЙ ЛИДЕР ИРАНА | РЕКОРДНЫЕ ЦЕНЫ НА НЕФТЬ
    7 часов назад
  • TAKUKURU MBEYA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 100, YAIMARISHA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA
    TAKUKURU MBEYA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 100, YAIMARISHA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA
    10 дней назад
  • DKT. MARY MWANJELWA ATOA USHUHUDA MZITO KWENYE MAZISHI YA ULIMBOKA MWAKILILI
    DKT. MARY MWANJELWA ATOA USHUHUDA MZITO KWENYE MAZISHI YA ULIMBOKA MWAKILILI
    2 недели назад
  • MAHUNDI AONYA VIJANA KUTELEKEZA WAZAZI WAO
    MAHUNDI AONYA VIJANA KUTELEKEZA WAZAZI WAO
    2 недели назад
  • УЧИТЕЛЯМ ЗАДЕРЖАТ ЗАРПЛАТЫ | ИЗБРАН НОВЫЙ ПРАВИТЕЛЬ ИРАНА | УДАР ПО ХРАНИЛИЩУ ЯДЕРНОГО ТОПЛИВА
    УЧИТЕЛЯМ ЗАДЕРЖАТ ЗАРПЛАТЫ | ИЗБРАН НОВЫЙ ПРАВИТЕЛЬ ИРАНА | УДАР ПО ХРАНИЛИЩУ ЯДЕРНОГО ТОПЛИВА
    2 часа назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com