HAKI YA NDOA KWA TIMETABLE | NIMEUZA MKOJO MAREKANI

Описание к видео HAKI YA NDOA KWA TIMETABLE | NIMEUZA MKOJO MAREKANI

Elly David ametufungulia mengi juu ya maisha ya mahusiano na maisha ya Ughaibuni kiujumla.
Anakwambia maisha yanakua magumu mpaka unauza haja ndogo ili kujikimu.

Utofauti wa kiutamaduni na faida za kua kwenye vikundi vya Diaspora wa sehemu fulani.


Thank you Elly David for allowing this to be online

www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке