Mpasua Msonobari - Pablo at the museum in Nairobi, Kenya. Watch what happens! Its hilarious.

Описание к видео Mpasua Msonobari - Pablo at the museum in Nairobi, Kenya. Watch what happens! Its hilarious.

#MpasuaMsonobari hashtagmpasuamsonobari. Comedy made more fun with pablo who happiness is killing!

[Rais Magufuli leo katika habari leo wameangaziwa pamoja na Makonda na Pierre Liquid/ Konki Liquid katika Azam TV wakikashifu masuala ya ngono.]

ENGLISH:
Pablo narrates exclusively and with a lot of humor about his Kenyan trip and how he was invited by his friend Mpasua Msonobari , a #SwahiliTranslator who lives in Kenya. He takes you through his experiences at the Kenyan national museum and mannerism of the #KenyanPeople as he also compares them with his #UgandanPeople. This is a must watch. It will crack your ribs.

SWAHILI:
Pablo anasimulia kwa kina na kwa ucheshi usio na kifani kuihusu ziara yake ya Kenya na namna alivyoalikwa na rafiki yake anayeishi Kenya, Mpasua Msonobari, ambaye ni mtaalamu wa lugha ya Kiswahili, #MtafsiriKiswahili. Anakusimulia yaliyompata akiwa kwenye makavazi ya kitaifa na mienendo ya #WatuWaKenya huku akiwalinganisha na #WatuWaUganda. Lazima uyatazame makala haya. Yatakuvunja mbavu.

Pablo & Mpasua Available On:
YouTube:    / pablo98736  
   / msonobari  
Facebook:   / pablokimuli  
  / mpasua  

For Bookings & correspondence:
Call: +254 725 084 032
Email: [email protected]

#EthiopianAirlines #Boeing737Max #MainaAndKingangi #mpasuamsonobari #Tetema #Chekesha #UgandanComedy #BongoComedy #BwakilaVichekesho #VunjaMbavu #HashtagMpasuaMsonobari #Tanzania #ChurchillShow

Комментарии

Информация по комментариям в разработке