Mpe Riziki Si Matusi, Utetezi Wa Haki Za Kina Mama Wajasiriamali/ Digitali Na Ukuaji Uchumi.

Описание к видео Mpe Riziki Si Matusi, Utetezi Wa Haki Za Kina Mama Wajasiriamali/ Digitali Na Ukuaji Uchumi.

Kutoka na kuwepo kwa changamoto ya uharibifu wa mazingira kunakotokana na shughuli za kibinadam ikiwamo kilimo shirika la kuhifadhi misitu ya asili Tanzania kwa kushirikiana na Mtandao wa Jamii wa usimamizi wa misitu Tazania na chuo kikuu cha leeds wameungana kufanya utafiti wa kilimo hifadhi ya misitu na mazingira kupitia mradi wa long fallow utakaosaidia kuleta suluisho la uvunaji wenye tija na utunzaji wa mazingira.
Mpe Riziki Si Matusi’ hii ni kauli mbiu ambayo inatumiwa na wadau wanaotetea Haki za akina Mama wajasriamali katika masoko mbalimbali nchini dhidi ya vitendo vinavyo washalilisha ambavyo hufanywa na baadhi ya wanaume.
Mwandishi Phillip Mwihava akiwa jijini Arusha kwenye wiki ya AZAKI amekutana na watetezi hawa na katika mjadala wao wameeleza namna wanavyopambana kuhakikisha mwanamke mjasiriamali sokoni habugudhiwi na kujua Haki zake.
Naibu waziri wa maliasili na utalii Dunstan Kitandula amesema kuwa serikali itaongeza kasi ya kufundisha askari wa jamii ili kuiwezesha jamii hususan ya watu waishio pembezoni mwa maeneo ya hifadhi nchini kuweza kuwa na askari wa kutosha kwa ajili ya kuwadhibiti wanyama wakali na waharibifu wakiwemo tembo.
Naibu waziri Kitandula ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Matongo, wilayani Bariadi mkoani Simiyu, baada ya kukabidhiwa majengo ya iliyokuwa shule ya sekondari ya wasichana ya matongo ili kuwa chuo cha mafunzo ya askari wa wanyamapori, ambapo ameitaja mikakati mingine ya serikali katika kuwadhibiti wanayama hao.
Katika kuunga mkono jitihada za Serikali katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Puma Energy Tanzania kupitia PumaGas imezindua kampeni ya Bei kama Mkaa faida kibao yenye lengo la kuhimiza wananchi kupika kwa nishati ya gesi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке