UZINDUZI WA BIBLIA YA KWANZA KWA LUGHA YA KIKAMI

Описание к видео UZINDUZI WA BIBLIA YA KWANZA KWA LUGHA YA KIKAMI

Taasisi ya Bread For The World wakishirikiana na Kanisa la Kiinjili Lakilutheri Tanzania wamezindua kitabu cha kwanza cha tafsiri ya Neno la Mungu kwa Lugha ya Kikami. Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mchungaji Raymond Dunia Pamoja na wachungaji wenzake (Katibu Mchg Mwimbe,Mchg Steven Nuru,Mr Bandua na Mr Ruben Nyahungo) uzinduzi huo ulifanyikia usharika wa Maseyu Morogoro. Tazama Video uone matukio pamoja na nyimbo mbalimbali.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке