HOTUBA NZITO YA LISSU, AMVAA WAZIRI BASHE, ATAKA AJUZULU KWA MAZITO YA MPINA, USHAHIDI WATOLEWA

Описание к видео HOTUBA NZITO YA LISSU, AMVAA WAZIRI BASHE, ATAKA AJUZULU KWA MAZITO YA MPINA, USHAHIDI WATOLEWA

#TANZANIA: Lissu atoa hotuba nzito Itigi Manyoni Magharibi, amvaa Mbunge wa Jimbo hilo bila huruma, adai alipata kura mbili akakimbilia huko, amvaa Bashe kwa tuhuma za wizi wa mabilioni sakata la sukari, amtaka Rais Samia amfukuze Uwaziri haraka, aungana na Mpina, ushahidi watolewa.

Zaidi:    • HOTUBA NZITO YA LISSU, AMVAA WAZIRI B...  

Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE Youtube Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Комментарии

Информация по комментариям в разработке