U MWENDO GANI - SUA SDA CHOIR

Описание к видео U MWENDO GANI - SUA SDA CHOIR

Wimbo huu ni moja kati ya nyimbo 10 zilizopo kwenye toleo la pili la kwaya hii nzuri ya kanisa la waadventista wa sabato SUA.

U mwendo gani nyumbani, usiku sasa waisha.Tumekaribia kufika nyumbani,usihuzunike kabisa,
kaza mwendo tufike wote.

Email: [email protected]
INSTAGRAM/FACEBOOK: SUA SDA CHURCH

Комментарии

Информация по комментариям в разработке