MAMA KUBWA EP 1: STARRING MARIAM ISMAIL, GETRUDE MWITA, TITO, ALEX SPONGA, MIRIAM ROBERT

Описание к видео MAMA KUBWA EP 1: STARRING MARIAM ISMAIL, GETRUDE MWITA, TITO, ALEX SPONGA, MIRIAM ROBERT

Tabia za ubabe za MAMA KUBWA (Mariam Ismail) zinamwingiza kwenye mgogoro mkubwa wa kimapenzi, baada ya JEMMY na SIWEMA kujitosa kwenye penzi la mume wa Mama Kubwa, PIZZO (Alex Sponga).
Wakati huohuo, mwanadada msomi JULITA (Getrude Mwita) anakuwa gumzo mtaani baada ya urembo wake kuwa sukari ya wanaume wengi, na kuibua mgogoro mkubwa kati yake na mabinti wengine.

#MariamIsmail #GetrudeMwita #MrishoZimbwe #AlexSponga #bongomovies #bongotrend #love #subscribe #lifetimemovies2024

Комментарии

Информация по комментариям в разработке