| DAWA YA MCHELE | Matapeli haswa wa kike hutumia dawa za usingizi kwa uhalifu

Описание к видео | DAWA YA MCHELE | Matapeli haswa wa kike hutumia dawa za usingizi kwa uhalifu

Ni tabia ambayo imekuwa ikishuhudiwa kwa muda, lakini kutolewa hadharani kwa ripoti ya viwango vya uhalifu wa kutumia dawa kwenye mikahawa ya burudani kumeibua wasiwasi. Visa hivi vikitajwa kuongezeka na hata kuwepo na magenge ya wake kwa waume wanaofanya uhalifu huu wa kutilia watu dawa za kupoteza fahamu kama biashara. Mwanahabari wetu Ben Kirui amelizamia swala hili na kuzungumza na baadhi ya waathiriwa na hata uchunguzi wa dawa hizi ambazo hutumiwa kuwalaza wanaolengwa kabla ya kuibiwa. Haya hapa makala yetu maalum ya #DawaYaMchele

Комментарии

Информация по комментариям в разработке