Kufutwa kwa mawaziri wandani wa rais Ruto ni zaidi ya hasara

Описание к видео Kufutwa kwa mawaziri wandani wa rais Ruto ni zaidi ya hasara

Licha ya wote kuathirika katika mabadiliko ya leo ya baraza la mawaziri yaliyowaacha bila kazi, kuna baadhi ya wale ambao kufutwa kwao ni zaidi ya hasara. Mbali na kuwa wandani wa karibu wa William Ruto, Waziri Kithure Kindiki, Aden Duale na Kipchumba Murkomen ni kati ya waliopoteza pakubwa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке