Idris Sultan asimulia alivyopigana vikumbo na Jlo, Beyonce na Jay Z, kuigiza filamu na Ramsey Noah

Описание к видео Idris Sultan asimulia alivyopigana vikumbo na Jlo, Beyonce na Jay Z, kuigiza filamu na Ramsey Noah

February 3, 2020 Idris Sultan alihudhuria fainali za ligi ya NFL ya Marekani ambayo hujulikana kama Superbowl. Anasimulia mengi yaliyomshangaza, mastaa aliokutana nao na alichojifunza. Pia anaeleza kushiriki filamu moja na mastaa wa Afrika Kusini na Nigeria akiwemo Ramsey Noah

#ChillnaSky

Комментарии

Информация по комментариям в разработке