Vyuo vikuu sasa vyatakiwa kuwaruhusu wanafunzi kuanza masomo yao

Описание к видео Vyuo vikuu sasa vyatakiwa kuwaruhusu wanafunzi kuanza masomo yao

Serikali sasa inasema wanafunzi wote wanaotarajiwa kuripoti vyuo vikuu wataanza masomo yao licha ya baadhi yao kutokuwa na uwezo wa kulipia gharama zilizosalia. Waziri wa elimu Julius Migos amewaagiza manaibu chansela wa vyuo vikuu kuwasajili wanafunzi wote na kuwasaidia kupata makapo, hata wanaposubiri fedha zao kulipwa. Agizo hili likijiri huku serikali ikitangaza kutolewa kwa mgao wa shilingi bilioni nane kwa ufadhili na mikopo

Комментарии

Информация по комментариям в разработке