STORY YANGU S1:EP3 | LOVE JUAKALI

Описание к видео STORY YANGU S1:EP3 | LOVE JUAKALI

LOVE JUAKALI: Sina mpango wa kupungua. Wanaonisema mtandaoni hawaelewi namna gani najikubali. Sikupenda kuigiza, lakini kugunduliwa na Lamata kulibadili kila kitu. Maumivu ya kumpoteza mama yangu ni makubwa. Usikose kutazama story hii ya kuvutia ya Love Juakali

Комментарии

Информация по комментариям в разработке