RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU

Описание к видео RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU

March 10 2016 Rais wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli alikwenda kwenye benki kuu ya Tanzania kwa kushtukiza, baada ya kufika ikabidi akae kuongea na wahusika kuhusu ishu mbalimbali.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке