Heri Taifa || Gisubizo Ministries Worship Legacy S5

Описание к видео Heri Taifa || Gisubizo Ministries Worship Legacy S5

Heri Taifa

| Verse 1 |

Heri tayifa ambalo bwana u Mungu waona
watu ulio wachagua kuwa urithi wako

Maana myoyo yetu itafurahiya kuwa
Tumelitumaini jina lako zuri.

| Verse 2 |

Babaa ni wewe twangojea tukishika njia zako
Na wewe utatu ongoza tu urithi ufalme.

| Bridge |

Tutatangaza uaminifu wako
Hakuna awezaye kufananishwa nawe
Umefanya kwa wingi miujiza
Nasi tutaimba milele na milele.





Your support is highly appreciated

If you want to support Gisubizo Ministries:
MOMO PAY *182*8*1*172968# Eric
WordRemit: 0782497900/ Eric NGIRABAKUNZI

Hit the 🔔 Notification Bell so that you never miss our most recent video.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке