Rais William Ruto ayataka mataifa makuu kuwezeka Afrika

Описание к видео Rais William Ruto ayataka mataifa makuu kuwezeka Afrika

Rais William Ruto amewataka viongozi wa mataifa makuu duniani maarufu G7 kuunga mkono mabadiliko ya kifedha duniani na kuongeza uwekezaji barani Afrika.
Akizungumza kwenye mkutano wa mataifa hayo nchini Italy, Rais Ruto alisisitiza umuhimu wa ufadhili wenye usawa na nafasi kubwa kwa Afrika katika maamuzi ya kimataifa. Ruto alieleza changamoto za Afrika za migogoro, majanga ya hali ya hewa, na uchumi unaoyumbayumba. Aidha, mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi amesema uwepo wa Ruto katika mkutano huo unaonyesha hadhi ya juu ya kidiplomasia nchini Kenya.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке