Uwe na msimamo katika maamuzi yako, Usikubali kuyumbishwa yumbishwa.

Описание к видео Uwe na msimamo katika maamuzi yako, Usikubali kuyumbishwa yumbishwa.

Maandiko: Matendo 21 : 9 - 14
Katika safari hii baada ya kuokoka, wadhoofishaji ( wakatisha tamaa ) wengi sana nao huinuka kwa njia ( mbinu mbalimbali ); bila ya kuwa na msimamo binafsi, utayumbishwa kabisa na hatimae kujikuta upo njee ya kweli ya Mungu..
Isaya 33 : 6

Комментарии

Информация по комментариям в разработке