(Exodus 23:25)
"Worship the Lord your God, and his blessing will be on your food and water. I will take away sickness from among you."
In July 2020, I went through a scheduled surgery and things went wrong.
I had to go for 5 more surgeries to correct the raptured organ.
God has restored my health and I can now rejoice that God has done it for me.
My grave would not have praised him, HE healed me that I could praise him.
God has done it for me.
He is not a respecter of persons,
He doesn’t consult anyone when he wants to bless and heal you.
He just does His Will.
ALISEMA ATATENDA LYRICS
Chorus
Alisema Atatenda, Alisema Atatenda
Nimemuona Akitenda maishani mwangu
Mfungulie moyo , Atende mapenzi yake
Alisema Atatenda,
Amenitendea, Amenitendea
Verse
Sikumjua huyu Yesu, Nikitazama Duniani,
Roho yangu kaumia, Magonjwa Makali,
Lakini kwa Upendo mkuu, Kaniita Mwana wake,
Alisema atatenda , Amenitendea
Chorus
Alisema Atatenda, Alisema Atatenda
Nimemuona Akitenda maishani mwangu
Mfungulie moyo , Atende mapenzi yake
Alisema Atatenda,
Amenitendea, Amenitendea
Verse
Ndugu yangu akuita, Raha yake Kimbilia,
Ayatende maajabu , Rafiki washangae,
Hapendelei, Hachagua ,Nimemuona akitenda,
Alisema Atatenda, Amenitendea
Chorus
Alisema Atatenda, Alisema Atatenda
Nimemuona Akitenda maishani mwangu
Mfungulie moyo , Atende mapenzi yake
Alisema Atatenda,
Amenitendea, Amenitendea
(Solo 1) Atatenda
(Solo 2) Atatenda
(Solo 1)Nimwaminifu
(Solo 2)Usife moyo
(Solo 1)Baba Atatenda, ooooh
(Solo 2)Atatenda ,
(Duet ) Amenitendea , Amenitendea oooooooh
Chorus
(Alisema Atatenda, Alisema Atatenda
Nimemuona Akitenda maishani mwangu
Mfungulie moyo , Atende mapenzi yake
Alisema Atatenda,
Amenitendea, Amenitendea) x 2
Информация по комментариям в разработке