MAWAZO NINAYOWAWAZIA - JOHN MGANDU | TANZANIA ORGANISTS SOCIETY (TOS)

Описание к видео MAWAZO NINAYOWAWAZIA - JOHN MGANDU | TANZANIA ORGANISTS SOCIETY (TOS)

Bwana asema mawazo ninanayowawazia ninyi ni mawazo ya amani wala si ya mabaya
Nanyi mtaniita nami nitawasikiliza nami nitawarudisha nami nitawarudisha kutoka mahali pote watu wenu watu wenu waliofungwa
1. Nami nitawapa moyo nami nitawapa moyo wanijue yakuwa mimi ni Bwana nao watakuwa watu wangu nami nitakuwa Mungu wao kwa maana watanirudia kwa moyo wao wote
WIMBO WA MWANZO DOMINIKA YA 33 MWAKA C WA KANISA

Комментарии

Информация по комментариям в разработке