FAHAMU GPS INAVYOZUIA MME AU MKEO KUCHEPUKA/GARI, PIKIPIKI AU BAJAJI KUIBIWA/AKIENDA GUEST UNAONA

Описание к видео FAHAMU GPS INAVYOZUIA MME AU MKEO KUCHEPUKA/GARI, PIKIPIKI AU BAJAJI KUIBIWA/AKIENDA GUEST UNAONA

Tumepiga story na Michael kutoka Kampuni Ya Myco Car GPS ambao wanahusika na ufungaji wa GPS kwenye vyombo vya Usafiri vya moto kama Pikiiki, Magari, Bajaji nk, Ambapo ametueleze jinsi GPS inavyoweza Kufanya kazi za Ziada Ukiachana Na kuwa mlinzi mkubwa wa gari, pikipiki au bajaji yako Pia inauwezo wa kulinda ndoa yako, sababu kama mkeo au mmeo anatabia ya kuchepuka basi funga GPS kwenye Gari lake kwa siri kisha utaona majibu.














#Subscribe #ErastoMashauri #EmTVNews

Комментарии

Информация по комментариям в разработке