Jaribio la mauaji ya Trump lakashifiwa

Описание к видео Jaribio la mauaji ya Trump lakashifiwa

Idara ya upelelezi nchini Marekani FBI imemtambua mwanamume aliyempiga risasi Donald Trump wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni kuwa Thomas Matthew Crooks. Crooks anadaiwa kufyatua risasi wakati rais huyo wa zamani wa Marekani ambaye pia ni mwaniaji urais alipokuwa akihutubia umati wa watu huko Butler jimbo la Pennsylvania na kusababisha kifo cha mfuasi mmoja huku wengine wawili wakijeruhiwa. Crooks aliuawa kwa kupigwa risasi katika eneo la tukio huku uchunguzi ukiendelea.

Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter:   / kbcchannel1  
Find us on Facebook:   / kbcchannel1tv  
Check our website: https://www.kbc.co.ke/

#KBCchannel1 #Kenya #News

Комментарии

Информация по комментариям в разработке