Josh MANiO - Different ( Official Music Video )

Описание к видео Josh MANiO - Different ( Official Music Video )

Available on all leading platforms https://www.smartklix.com/smartlink/?...

Lyrics
Ntafanya nini kwa mda huu, Umetupata ghafla bin vuu, Kabla tushinde haya virusi, Nitajifunza nini kikuu,

Hello Fellow, Uko area gani,
Uko sawa umenawa Sanitizing
Na mathe je! Na ule senje mlami
Naskia eti alirudi toka Pari yiyiyi!
Nakujulia hali tu
Sijakuanga nimekusahau
Kila kitu hapa ni hitilafu
Buda halafu!
But stop! Ngoja
Nilikuwa pia na kahoja
Kweli hali tuko itaisha
Nasikia tu nimeboeka
Uuuuuu!

Ntafanya nini kwa mda huu, Umetupata ghafla bin vuu, Kabla tushinde haya virusi,
Nitajifunza nini kikuu,

Think Different, Think Differently
Think twice different, Homie think Different
Differentiate yourself, Moja kati ya maelfu

Sina form sina yengs sina party
Halafu kuna vile ganji haipatikani
Nina stress, niko home quarantini
Maybe gava itaingilia kati,
But stop hold up
Dunia nzima sasa iko pull-op
Nikikubali eti niwe disturbed
Si nitawachwa nyuma iki turn-up
Turn-up turn-up

Ntafanya nini kwa mda huu, Umetupata ghafla bin vuu, Kabla tushinde haya virusi,
Nitajifunza nini kikuu,

Think Different, Think Differently,
Think twice different, Homie think Different
Differentiate yourself, Moja kati ya maelfu

Watu wamegeuka mabully (bully)
Mabully mtandaoni (oni)
Kila mtu sasa ana maoni (oni)
Hatuoni tunafaa badili (dili)

Think Different, Think Differently
Think twice different, Homie think Different
Differentiate yourself, Moja kati ya maelfu

Produced by: PIAPOD JAMIE
Recorded at: WARUKS PRODUCTION
Shot&Cut by: SLEEZE
make up by: TULIP
Paintings: PAULO [just hit me up]
Location: the leafy surbubs of RUAKA 😉

Let's connect:
https://instagram.com/itsmanio?igshid...
  / maniojosh  

for inquiries and bookings,
call +254711540239 or
email: [email protected]

#Different #covid19 #quarantine #kenyanmusic #josh

Комментарии

Информация по комментариям в разработке