Mzee aliyevamiwa na fisi auwawa baada ya kukanyagwa na ndovu katika kijiji cha Likoni, Makueni

Описание к видео Mzee aliyevamiwa na fisi auwawa baada ya kukanyagwa na ndovu katika kijiji cha Likoni, Makueni

Mzee wa miaka 72 ameuwawa baada ya kuvamiwa na kukanyagwa na ndovu katika kijiji cha Likoni, Kibwezi Mashariki kaunti ya Makueni.
Mzee Musili Musembi, anaarifiwa kunusurika kifo baada ya kuvamiwa na fisi miaka miwili iliyopita ila katika tukio hili ndovu hao ambao wanawahangaisha wenyeji walimvamia akielekea nyumbani.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке