Polisi Wajieleza Walivyotajirika

Описание к видео Polisi Wajieleza Walivyotajirika

Zoezi la kuwapiga msasa maafisa wa polisi wa ngazi ya Naibu Kamishna Wa Polisi limeingia siku ya pili hii leo huku maafisa watatu wakihojiwa na jopo linalowachunguza. Jopo hilo linalosimamiwa na mwenyekiti wa tume ya huduma kwa polisi Johnston Kavuludi leo limewahoji makamanda wa kituo cha mafunzo cha kiganjo Peter Kalonzo Kavila, mwenzake anayesimamia kituo cha Embakasi cha mafunzo ya polisi wa utawala Abdi Omar Shurie na mkurugenzi wa mageuzi katika idara ya polisi Jonathan Koskei.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке