Urithi Wa Baba Ep 1

Описание к видео Urithi Wa Baba Ep 1

Maana Urithi - (ni vitu vyote ambavyo mtu aliyefariki dunia ameviacha na ambavyo vigawiwe kwa watoto. ndugu na wengineo kufuatana na wasia wake, sheria ,desturi n.k
katika filamu hii ya Urithi wa Baba inaongelea kuhusu msichana mmoja wa makamu ya chini, anavyopata tabu katika umiliki wa mali ya babake
#hanudixit
#neffex
#clamvevo
#kicheche
#kenyamedia
#swahilimovies
#elimubilamipaka
#youtubecopyrightstrike #clamvevo #elimubilamipaka #hanudixit

Комментарии

Информация по комментариям в разработке