HISTORIA: Uamsho wa 'AZUSA 1906' USA ndio chanzo Upentekoste Tanganyika 1932 Tazengwa @Pastor_Six

Описание к видео HISTORIA: Uamsho wa 'AZUSA 1906' USA ndio chanzo Upentekoste Tanganyika 1932 Tazengwa @Pastor_Six

Akiwa jijini Dodoma kwa huduma October 17-21 2018 Pastor wetu Sixberth azungumzia kwa kifupi Historia ya Uamsho wa 'AZUSA' ulioleta Upentekoste hapa kwetu Tanganyika mwaka 1932 pale wilayani Nzega katika mkoa wa Tabora eneo linaloitwa Tazengwa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке