Ikran Omar: Mwanamitindo au Model Muislamu anaandaaje shoo ?

Описание к видео Ikran Omar: Mwanamitindo au Model Muislamu anaandaaje shoo ?

Ikran Omar mwanamitindo wa Kisomali nchini Kenya amekuwa mstari wa mbele kupigania haki za wanamitindo wa Kiislamu wanaovaa hijab. Mlimbwende huyo wa kiislamu ana nia ya kuhakikisha aina mpya ya uanamitindo unaoheshimu dini na maadili na imezinduliwa duniani kote

Комментарии

Информация по комментариям в разработке