BARUA YA JACKLINE CLIFF KWA MILLARD AYO KUTOKA GEREZANI

Описание к видео BARUA YA JACKLINE CLIFF KWA MILLARD AYO KUTOKA GEREZANI

Jackie Cliff ni Mtanzania ambaye alihukumiwa kwenda jela miaka miwili iliyopita huko Macao China baada ya kukamatwa uwanja wa ndege akijaribu kuingiza dawa za kulevya, kwenye hii video amemtumia Millard Ayo barua ambayo anataka Watanzania wasomewe.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке