WIFI ZANGU VJB

Описание к видео WIFI ZANGU VJB

maisha ni safari ndefu sana.naamini hivyo. safari yangu ya muziki ilianzia ktk band hii ya vijana jazz band.wana saga rhumba.naishukuru sana band hii kwa kunilea vizuri.asante sana sana kiongozi wa band hii kipindi hicho. RASHID PEMBE.kwani yeye ndiye aliye tumia nguvu nyingi sana juu yangu.na ktk kudhilihisha hilo ktk kibao hiki ambacho tulikirejea tena kwa mara ya pili.mimi NASSOR DIMOSO.nimeshiriki ktk upigaji wa kinanda kwa asilia zote.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке