Ruge Mutahaba: Kama Makonda Hakutaka Nije Hapa Kwanini TEF Mliniita?

Описание к видео Ruge Mutahaba: Kama Makonda Hakutaka Nije Hapa Kwanini TEF Mliniita?

SUBSCRIBE NOW:    / uwazi1  
Ruge Mutahaba; Kama Mkuu Hakutaka Nije Hpa Kwanini Mliniita?

   / uwazi1  
   / uwazi1  
   / uwazi1  
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
Muda mfupi baada ya Ruge Mutahaba, Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, kukutanishwa na Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na jukwaa la wahariri (Tef) kwa lengo la kusuluhishwa, Ruge ametoa msimamo wake ambao ndiyo msimamo wa Clouds Media.

Ruge alianza kwa kusisitiza kwamba yeye hajawahi kuwa na ugomvi binafsi na Makonda bali alichokuwa anakifanya, ilikuwa ni kusimamia haki ya chombo anachokiongoza, Clouds Media ambacho ndicho kilichokosewa na mkuu huyo wa mkoa.

Akasema kwa sababu ameombwa na mkuu wa nchi, mheshimiwa rais kulimaliza tatizo hilo, haoni sababu ya kuendelea kushikilia msimamo wa kutofanya kazi na mkuu huyo wa mkoa.

Katika mkutano huo uliohudhuriwa pia na waandishi wa habari na Makonda mwenyewe, mkuu huyo wa mkoa alikuwa mgumu kuomba radhi kwa kile alichokieleza kwamba hakukuwa na kosa alilolifanya.

“Baada ya jambo la leo msimamo wa CLOUDS MEDIA GROUP ni uleule tuliokua nao toka siku ya jumamosi baada ya kupatanishwa na Mh. Rais, siku ile alivyotupatanisha sisi kama Watanzania hatukua na budi zaidi ya kukubali na kurudi kwenye uhusiano wa kiuweledi.

FACEBOOK:   / globalpublis.  .
TWITTER:   / globalhabari  
INSTAGRAM:   / globalpubli.  .

Комментарии

Информация по комментариям в разработке