Bella kombo Amuwashia Moto Dr Ipyana Kuhusu Mahusiano Yake Na Zoravo | Sakata La Uzinzi Kwa Waimbaji

Описание к видео Bella kombo Amuwashia Moto Dr Ipyana Kuhusu Mahusiano Yake Na Zoravo | Sakata La Uzinzi Kwa Waimbaji

USIINGIE KWENYE MAHUSIANO ETI TU KWASABABU WATU WANAONA UNAENDANA NA MTU FULANI ZORAZO.

Akijibu swali lililoulizwa na Mtangazaji John Pazia Zoravo amekiri kuwepo kwa tetesi na minong'ono kutoka kwa Baadhi ya watu wakiwahisi yeye na Muimbaji Bella Kombo kuwa wako kwenye mahusiano na endapo wataoana wataendana sana.

"Bella Kombo nadhani ni Mungu alimleta kwangu nakumbuka mara ya Kwanza namuona niliona ana kitu Cha kipekee kwa habari ya kumtumikia Mungu na wakati huo alikua ametoka tu kuokoka na alikua na wimbo mmoja kwa wakati huo akitokea kwenye Muziki wa kidunia na kipindi hicho namfahamu alikua ni maarufu kuliko Mimi.

Kitu Mungu amenipa ni kuona naweza ona kwamba mtu huyu ana huduma Fulani kwahiyo Bella Kombo ni rafiki angu sana na kwa tetesi zisemwazo siwezi kuwa na majibu ya moja kwa moja kuwa Niko nae kimahusiano ila huenda lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja- Zoravo.

Kama unabarikiwa na watumishi wa Mungu hawa tuandikie ni nyimbo zao zipi ambazo zinakubariki nyakati zote.


#gospelmusic #gospel

Комментарии

Информация по комментариям в разработке