SAUTI|| SOUNDS

Описание к видео SAUTI|| SOUNDS

Vokali/IRABU

Sauti inayotamkwa kwa mkondo hewa huru zaidi kuliko ule wa konsonanti: foneta zinazotamkwa Kwa ulaini yaani ni sauti ambazo hutamkwa bila hewa kubanwa au kuzuiliwa katika ala za matamshi

Umuhimu wa irabu
-Kudhihirisha ubantu wa Kiswahili: neno huishia Kwa irabu
-Utambuzi wa silabi asilia za Kiswahili
-Kuunda silabi
-Kuswahilisha neno la kukopa: uundaji wa maneno kv screw skurubu
Kitab-kitabu
-Kurahisisha matamshi ya maneno

Sifa za vokali
1. Hali ya ulimi-mkao wa ulimi wakati wa matamshi
A. Hali ya uinuko katika kiwango Cha:
I Juu- /I/ & /u/
II Chini- /a/
III Kati: kati juu- /e/ na /O/
kati Chini- /E/(inverted 3) & /o/ (inverted c)

2. Ulalo wa ulimi
a. Sehemu ya mbele-/e/, /E/ & /i/
b. Sehemu ya nyuma-/u/
c. Sehemu ya katikati- /a/

3. Umbo la mdomo -huchukua sura mbili:
I. Kuviringwa (oval)
Vokali viringe- /u/ /o/ na /O/
2. Kujitandaza (flat)
Vokali tandazi/tandazwa /e/ /i/ /E/ na /a/

Maswali;
Eleza sifa mbili za irabu /u/

/I/ mbele huu


Konsonanti
Sauti insyotamkwa Kwa kubanwa Kwa mkondo hewa wa matamshi pahala tofauti tofauti(kinywani au glotani) na kukwaruza kwa namna/jinsi mbalimbali
Idadi: 18-35 kutegemea wataalamu tofauti kutokana na sauti mang'ong'o
Kv mbaabu na Kapinga (18), Massamba na Mdee (22), mgullu (24); kimani etal (26)
Sifa bainishi
A. Ukonsonanti +konsonanti; yaani sio irabu
B. Pahala pa kutamkia- mahali mkondohewa unabaniwa
1 konsonanti za midomoni (labials)
m w b p mb beta phi
2 Mdomo na meno
f v
2a sauti za Menoni
th (theita) dh ndh mf mv mth

3 za masineni/ufizi (tendereleza)
t n d r l z

4. Burutio(jichosha)
j ch(c with a v on top) sh

5 kaakaani
ng' gh w
5a kaakaa gumu
Sh ch j NY
5b kaakaa laini
K g ng' gh

Tofautisha sauti /ny/ na /ng'/
6. Glotani; h
Sauti ya Koo/koromeo ; hutamkwa ktk sehemu ya nyuma wkt tundu la glota huletwa juu kabisa
Mweri; Mdomo Kwa Mdomo, ulimi Kwa meno, ulimi Kwa ufizi, ulimi Kwa kaakaa laini , ulimi Kwa kaakaa gumu, glota, midomo Kwa meno

c. Jinsi ya kutamka- namna vitamshi hubana mkondohewa wakati wa matamshi
1 vipasuo-kufungwa kabisa Kwa mkondo hewa(kuzuiliwa) katika sehemu moja ya Bomba la sauti na kuachiliwa ghafla
p b k g
-vya mdomoni: b p
-vya ufizi: t d
-kaakaa laini: k g ng'
-kaakaa gumu: j ny
2 Vizuiwa
Ch j
3 kikwaruzo- Ala za sauti hukaribiana na kupunguza upenyo wa Bomba la sauti kiasi Cha kufanya kupita Kwa hewa Kwa shida hivyo kutoa mkwaruzo
a vya mdomo Menoni: f v
B vya menoni::Ncha ya ulimi hugusa meno ya juu Kisha kuzuiwa hewa kabla ya kuiachilia: th dh
C ufizi s z
D kaakaa gumu sh x(kh)
E kaakaa laini gh kh
F kongomeo: h
Ch- Kipasuo kwaruzo
4 Nazali awali
m n Ng
5. Nazali/sauti ng'ong'o- hewa hupitia puani
M n NY Ng ND mb NJ ng'
Baadhi ni sauti mwambatano: NJ Nz Nt mb
6 kilainisho/likuidi l & r
A. Kitambaza: Ncha ya ulimi hukaribia ufizi na hewa kuruhusiwa kupita kando kando
l
6 kiyeyusho/nusu vokali
-Pitisha hewa kinywani na puani Kwa mkwaruzo mdogo
w y
7 kimadende- Ncha ya ulimi hupigapiga ufizi huku hewa inaendelea kupita
r
d. Ughuna
Msikiko wa sauti
-mrindimo/kutibwirika Kwa nyuzi za glotawa kutokana na nguvu za kujiskumiza Kwa mkondohewa nje(uliundiwa mapafuni) ili kupenya ndani ya chemba ya glota.

Ghuna: b d g j v gh z dh
Sighuna: p t k ch f th s x h

e Unazali

Bainisha dh: ghuna, kikwamizo , ulimi+ meno
Tofautisha vipasuo na nazali Al 4

Maumbo ya konsonanti
KI
KKI
KKKI- mchwa, mbweha
KKKK-

Taja sifa kuu inayoongoza kutamkwa kwa konsonanti zote

Sauti mwambatano: konsonanti zaidi ya moja


Jibu sahihi.sifa bainifu.
Uirabu.
A. Mahali pa kuamkia
B. Mwinuko wa ulimi,na,
Ch. Mkao wa midomo.

Konsonati.

A. Ukonsonanti
B. Namna ya kutamkwa
CH. Mahali pa kutamkia
D. Ughunaji na,
DH. Unazali.
(Fonolojia na mofolojia ya kiswahili).
Ni sifa zinazosaidia katika kufafanua foni Fulani na kutofautisha na nyingine.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке