HD VIDEO: JPM alivyotangaza kuwasamehe Babu Seya na Papi Kocha

Описание к видео HD VIDEO: JPM alivyotangaza kuwasamehe Babu Seya na Papi Kocha

Leo December 9 2017 Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ametangaza msamaha kwa Familia ya Babu Seya, msamaha huo ameutoa wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya Uhuru yaliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma

Комментарии

Информация по комментариям в разработке