Best Donuts 🍩 Recipe. Taamu and very easy to make.

Описание к видео Best Donuts 🍩 Recipe. Taamu and very easy to make.

ili kupata matokeo mazuri, hakikisha unapima vipimo vyako kwa usahihi kabisa.

pia kanda unga wako sana. 20- 25 minutes na kama nilivyoelekeza.

mafuta yako yasiwe mapole wala makali sana. yawe standar ili donuts zako ziive vizuri.

unaweza nipata tiktok kwa @malkiafoods

au instagram kwa kugusa hii link hapa chini.

https://www.instagram.com/malkiafoods...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке