Maneno ya mwisho ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli Jemedari wa Afrika

Описание к видео Maneno ya mwisho ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli Jemedari wa Afrika

Katika uhai wake Mhe. John Pombe Magufuli alisisitiza watanzania kumtumaini Mungu hasa kipindi ambacho kilikuwa na changamoto nyingi ambazo kama taifa tulizipitia.

Daima alitusisitiza kumtumainia Mungu kwani yeye ndiye muweza wa yote na hadi umauti unamkuta aliishi maneno hayo.

UPUMZIKE KWA AMANI RAIS WETU MPENDWA, JEMEDARI WA AFRIKA NA MWALIMU WA KWELI

Daima utaishi katika mioyo ya watanzania na utakuwa katika historia ya nchi yetu pendwa sana TANZANIA.

#magufuli #tanzania #jpm

Комментарии

Информация по комментариям в разработке