Pastor Epa - Uinuliwe Yesu (Live) Official Gospel song 2020

Описание к видео Pastor Epa - Uinuliwe Yesu (Live) Official Gospel song 2020

This song was:
Written by : Pastor Epa
Live recorded at Gold Crest Hotel Mwanza - Tanzania
Music arranged and Directed by Sephone Sospeter
Audio Captured, Mixed and mastered by Chosen record - Samwel Mboya
Video capturing , Editing and Mastered by Magulu studios International

LYRICS
Uinuliwe, Yesu, wewe, mwema
Uinuliwe, Yesu, wewe, mwema

Uabudiwe, Yesu, wewe, mwema
Uabudiwe, Yesu, wewe, mwema

Utukuzwe, Yesu, wewe, mwema
Utukuzwe, Yesu, wewe, mwema

Eeh Bwana katika miungu yote,
Ni nani aliye kaama wewe,
mtukufu katika utakatifu,
Mwenye kuogopwa katika sifa,
Uliyevuma kwa upepo wako,
Bahari ikafunikiza adui,
Wakazama kama risasi,
Risasi ndani ya maji makuu,

Uinuliwe, Yesu, wewe, mwema
Uinuliwe, Yesu, wewe, mwema

Uabudiwe, Yesu, wewe, mwema
Uabudiwe, Yesu, wewe, mwema

Utukuzwe, Yesu, wewe, mwema
Utukuzwe, Yesu, wewe, mwema

Woo wo wo wo Wo wo,
Wo wo wo wo Wo Wo

#EpafroditoKechegwa #Epafrodito #Epa #UinuliweYesu #Uinuliwe #Yesu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке