AIC Ziwani English Choir || Nairobi - Lo, Ajabu, kupata uzima

Описание к видео AIC Ziwani English Choir || Nairobi - Lo, Ajabu, kupata uzima

Lo, ajabu, kupata uzima
Katika damu ya mwokozi wawangu!
Alinifilia pendoni mimi niliemsulibisha!
Upendo hu-u niwakushangaza kabisa,
Wewe mungu wangu kunifilia pendoni.
Upendo huu nashanga-a , Mungu wangu kunifilia.

Mungu wangu alitoa damu!
Siwezi kuelewa neno hili;
Viumbe vyote vya mbinguni
Navyo haviwezi kufahamu
Najua tu ni kwa rehema zake mungu
Malaika watu wote wam-sujudu mno.
Ni rehema tumwabudu, Tumwamini ndiye mwokozi.

Aliondoka kule mbinguni
Kwa nyumba yake Mungu Baba yake,
Na utukufu aliacha
Afe kwa ajili ya waovu,
Rehema zake ni nyingi na ukarimu
Kwani Mungu wangu aliniokoa mimi.
Sistahili neema yake, lakini aliniokoa.
Sistahili neema yake, lakini aliniokoa.

Roho yangu ilifungwa sana
Dhambi nagiza vilinilemea
Ukaniangaza rohoni,
Gereza yangu ikang’aa mno,
Ikafunuka minyororo yangu yote,
Nikaondoka nikaaza kukufuata,
Siku ile nikapata, Uhuru kweli kwako Mungu.

Hukumuni mimi simo sasa ,
Mimi niwake Mungu ndiye wangu,
Yeye ni kichwa change kweli ,
Na amenivika haki yake .
Mimi hodari sasa kwa kiti cha enzi
Napewa taji ya milele katike yesu,
Sina hofu kusogea, Katika Bwana wangu Kristo.

Upendo huu nashanga-a , Mungu wangu kunifilia.
Sistahili neema yake, lakini aliniokoa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке